RT @jenniewtw: Watungaji sera waliopo katika nchi za kusini mwa jangwa la sahara wanapaswa kuzifahamu sababu za mimba za utotoni katika mae…
176 followers
845,898 followers
RT @jenniewtw: Watungaji sera waliopo katika nchi za kusini mwa jangwa la sahara wanapaswa kuzifahamu sababu za mimba za utotoni katika mae…
3,231 followers
Watungaji sera waliopo katika nchi za kusini mwa jangwa la sahara wanapaswa kuzifahamu sababu za mimba za utotoni katika maeneo yao ili kuweza kuwa na mikakati sahihi ya kupunguza mimba za utotoni. #ElimuBilaUbaguzi #ArudiShule. https://t.co/lxzYmmNF4Y
3,231 followers
Wasichana ambao hawaishi na wazazi wao wapo katika hatari kubwa ya kupata mimba za utotoni. Hii ni kutokana na ukweli kwamba wasichana hao wanakosa malezi na usimamizi wa wazazi wao. #ElimuBilaUbaguzi #ArudiShule https://t.co/lxzYmmNF4Y